Kama matatizo yaliotukuta kwa sote, tulishindwa kufanya kazi zetu vizuri na kulazimika kusimama kwa mda kutokana na janga hili la Corona (covid19) ...! Lakini tulitumia muda huu kupanga mipango itakayo tuwezesha kufanya kazi zetu kwa ufanisi ili kuwapa nafasi vijana ya kucheza mpira wa miguu!
Ahsanteni sana na tutatoa maelekezo zaidi hapa hapa!
Comments